Na steve sameo
Mambo yameiva kwa klabu ya Chelsea nchini England imeshapata saini ya kocha mpya Antonio Conte tayari ameshamwaga wino wa miaka mitatu katika klabu hiyo ya london.
Ikumbukwe kuwa chelsea imeshanolewa na makocha wa italy ,Ranier,Carlo Ancelott,Dimateo na sasa ni dhamu ya Antonio Conte kupita kwenye kiti hicho katika klabu ya chelsea maarufu kama the blues