Monday, 30 January 2017
KAGERA SUGAR IMEMPOTEZA GOLIKIPA DAVID BURUHANI LEO ASUBUHI
Golikipa wa zamani wa klabu ya Mbeya city na Kagera sugar kwa sasa David buruhani ameaga dunia katika hospitali ya bugando alikokuwa akipatiwa matibabu .
Buruhani alilazwa baada ya kutoka kwenye mchezo dhidi ya singida kwenye mchezo wa FA
taarifa zaidi tutaendelea kuwataarifu pamoja na mchezo wao kagera sugar zidi ya mtibwa leo pumzika kwa amani
About Unknown
Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.