Familia ya mkongwe Abeid Pele Andre Ayew na mdogo wake, Jordan Ayew wapeleka furaha kubwa kwa timu ya taifa ya Ghana kwa
kila mmoja kufunga bao moja na kuisaidia Ghana kuifunga DR Congo kwa
mabao 2-1 katika mechi ya robo fainali ya michuano ya Afcon nchini
Gabon.
Jordan ndiye alianza kufunga dakika ya 63 na kaka yake akamalizia kazi katika dakika ya 78 jwa penalti.
Wote wawili ni watoto wa gwiji la soka nchini Ghana Abeid Ayew maarufu kama Abeid Pele.
Jordan ndiye alianza kufunga dakika ya 63 na kaka yake akamalizia kazi katika dakika ya 78 jwa penalti.
Wote wawili ni watoto wa gwiji la soka nchini Ghana Abeid Ayew maarufu kama Abeid Pele.
DR Congo (4-3-3): Matampi, Mpeko, Tisserand, Bokadi, Lomalisa; Mbemba, M'poku (Bakambu 83), Mulumba (Bolingi 85); Mubele (Bokila 83), Mbokani, Kabananga
Booked: Mulumba, Lomalisa
Goals: J Ayew 63, A Ayew 78 pen
Ghana (4-2-3-1): Razak; Afful, Boye, Amartey, Acheampong; Acquah, Wakaso; Atsu, Partey, A. Ayew; J. Ayew
Booked; Wakaso, Amartey
Goals: M'Poku 68