Mafahari watatu wa Barcelona, Luis Suarez, Neymar Junior na Lionel Messi
wakijishangaa baada ya kufungwa 2-1 na Valencia usiku wa kuamkia leo
katika mchezo wa La Liga Uwanja Camp Nou, huo ukiwa mchezo wa tatu
mfululizo .
Wanafungwa kwa mara ya kwanza baada ya miaka 13. Mabao ya
Valencia yalifungwa na Ivan Rakitic aliyejifunga wakati akijaribu kuokoa
krosi ya Guilherme Siquiera dakika ya 26 na Santi Mina dakika ya 45, wakati la Bara lilifungwa na Messi dakika ya 63.
Huku messi akiwa amefikisha goli mia tano katika kalia yake ya mpira huku akiwa ameifungia Barcerona goli 450 huku timu yake ya taifa akiw ameifungia goli 50 toka aanze kuichezea