Kocha Jose Mourinho sasa rasmi ni kocha wa Manchester United baada ya uongozi wa klabu hiyo, kumtangaza.
Makamu Mwenyekiti wa Manchester United, Ed Woodward ametangaza wao kuingia mkataba wa miaka minne na kocha huyo raia wa Ureno.
Mkataba
huo utakuwa na gharama ya pauni milioni 45 katika kipindi cha miaka
mitatu na tayari inaelezwa ametengewa kitita cha pauni milioni 200 kwa
ajili ya usajili na masharti ni kubeba ubingwa wa England.
About Unknown
Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.