Mbeya:
Zaidi ya madereva 100
wanaofanya shughuli zao mji mdogo wa mbalizi wilaya ya mbeya vijijini mkoani
mbeya wameshindwa kusafirisha abaria kwa siku mbili sasa kutokana na kukosa kwa
kupitia katazo la bajaji kutopita barabara kuu.
Ikiwa imepita mwezi mmoja na
siku kadhaa tangu mkuu wa mkoa wa mbaya amosi makkalla kutoa agizo la bajaji kutopita barabara kuu
hali si shwali katika mji mdogo wa mbalizi.
Ni siku ya pili kwa vijana
144 wanaojishughulisha na kusafirisha abiria katika mji mdogo wa kiabisahara
mbalizi kushindwa kufanya klazi kutokana na kukukosa barabara kwani hakuna
kupita katika barabara kuu na hakuna
njia mbadala ya kutmia.
Bahati Simbaya niu mwenyekiti
wa bajaji mbalizi anasesma hawaruhusiwi kupita barabara kuu na wanakotakiwa
kupita barabara ipo kwenye matengenezo.
Wajasiriamali hao madereva wa
bajaji wanaomba serikali yao
tukufu yenye kuwasikiliza watu ni kuwatengenezea njia mbadala na kuwaruhusu
kupita barabara kuu kwa kipande kidogo cha kutoka zzk hadi hospitali teule ya
ifisi kwani wanachofanya ni kuwasaidia wagonjwa.