.
Klabu ya Westham imesema kuwa
aliyekuwa kiungo wake Dimitri Payet amekosa nidhamu na upendo kwa timu
hiyo baada ya kujiunga na klabu ya Marseille ya Ufaransa kwa Euro
milioni 25.
Sullivan amesema kuwa sababu ya kumuuza ni ili kutokuondoa umoja wa wachezaji jambo ambalo ni muhimu zaidi.
Payet amejiunga na Marseille kwa mkataba wa miaka minne na nusu.