.
Na Heblon Admin
Umeiona mikono ya John mikel Obil.....mara nyingi huwa wananyoosha watu walio mateka, ambao wamekubali matokeo katika vita yao juu ya jambo fulani....katika maisha yangu jambo la kwanza ninalo lichukia ni kifo, na neno ambalo sipendi kusikia ni "Goodbye'' , sipendi kulisikia kwa kuwa linabeba hisia za ndani za mtu huku likimaanisha sito rudi tena mahali ninapo ondoka.....Goodbye is not a word to use.
"Kwa yeyote aliye katika muungano na chelsea kwa heli na ahsante'' ni maneno yake Obi , Obi anaondoka Chelsea na kutimkia china...ni msimu mzuri kwake lakini si kwa Taifa lake ambalo limeshindwa kufuzu Afcon na Taifa Stars yetu, ni wakati mzuri kwa Obi kwa kuwa atakuwa anawaza tu mkataba wake na maisha mapya kuliko wakati mwingine wowote kwa sababu anaenda kumalizia maisha yake ya kisoka huku akiramba mshahara bora kabisa , tevez ameenda, oscer, mancin, akina drogba, anelka na sasa akina sunchez, messi na ronaldo wana hitajiwa huko
Lakini kuna kitu najiuliza hivi moto wanao uchochea China je utachemsha makande yote? Mimi sina jibu labda nitapata baada ya miaka mitano ijayo.....wachina wanataka kununua biashara ya mpira, wataweza, wanataka kuwanunua nyota wote wa soka ulaya, wataweza lakini kizazi kitakacho inogesha china katika mchezo wa mpira wa china yenyewe je wataweza?... watanunua hata mashabiki hawa maana watoto wa china hawapendi mpira haupo moyoni, wametawaliwa na technology yao....wanatumia mamilioni kuwanunua wachezaji ambao umri umesonga ili wakavutie ligi yao ni sawa lakini je....timu yao ya Taifa itajengwa na nani? Nyota wote sio wazawa hawana faida kwa taifa ila tu vilabu....nahisi wachina wanataka kuwa na timu ya taifa mbovu kama yetu.....
Wageukie kuwekeza katika vipaji, wawe na ligi nzuri nyota wa soka waende kucheza kwa mapenzi na sio tamaa.