Mtoto
wa nyota wa zamani wa Barcelona na Ajax, Patrick Kluivert a’mekuwa
mwanamichezo mdogo zaidi kupata mkataba na kampuni ya mavazi kama Nike.
Shane Kluivert anayecheza Paris Saint-Germain ameingia mkataba wa kuvaa Nike akiwa na miaka tisa.
Baba
yake, yaani Kluivert ndiye amechangia katokana na kumtupia mwanaye
mtandaoni mara mara akionyesha kipaji chake na kadhalika.
Hali hiyo imechangia kuwavutia wadhamini hao.