Rais
wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amewatangaza
wenyeviti na wajumbe wa kamati mbalimbali
Rais
Karia amewatambulisha viongozi na wajumbe wa kamati hizo kwenye Kikao
cha Kamati ya Utendaji iliyofanyika jana Jumanne Agosti 22, mwaka huu
jijini Dar es Salaam.
Katika
kikao hicho pia Rais Karia alitumia fursa hiyo kutangaza viongozi wa
kamati mbalimbali za TFF zikiwamo za kinidhamu na kisheria.
Kamati ya Nidhamu:
Mwenyekiti Tarimba Abbas, Makamu Mwenyekiti, Peter Hella wakati wajumbe ni Boniface Lyamwike, Dk. Bill Haonga na Kassim Dau.
Kamati ya Rufani za Nidhamu:
Mwenyekiti
ni Wakili Rahim Zuber Shaban; Makamu Mwenyekiti, Stella Mwakingwe
wakati Wajumbe ni Abbas Mtemvu, Amani Mulika na Siza Chenja.
Kamati ya Maadili:
Mwenyekiti
ni Wakili Hamidu Mbwezeleni, Makamu Mwenyekiti ni Wakili Steven Zangira
wakati Wajumbe ni Glorious Luoga, Walter Lungu na Amin Bakhressa.
Kamati ya Rufaa ya Maadili:
Mwenyekiti
ni Wakili Ebenezer Mshana; Makamu Mwenyekiti ni DCP. Mohammed Mpinga na
wajumbe ni Wakili Benjamin Karume, George Mayawa na ASP. Benedict
Nyagabona.
Kamati ya Uchaguzi:
Mwenyekiti
ni Revocatus Kuuli; Makamu Mwenyekiti ni Wakili Mohammed Mchengerwa;
Wakili Edwin Mgendera; Wakili Kiomoni Kibamba na Wakili Thadeus Karua.
Kamati ya Rufani ya Uchaguzi:
Mwenyekiti ni Kenneth Mwenda; Makamu Mwenyekiti ni Jabir Shekimweri na Wajumbe ni Wakili Rashid Sadalla, Irene Kadushi na Mohammed Gombati.
Mwenyekiti ni Kenneth Mwenda; Makamu Mwenyekiti ni Jabir Shekimweri na Wajumbe ni Wakili Rashid Sadalla, Irene Kadushi na Mohammed Gombati.
Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji: Mwenyekiti
ni Elias Mwanjala; Makamu Mwenyekiti ni Wakili Malangwe Mchungahela
wakati Wajumbe ni Zakaria Hanspope, Robert Selasela, Goodluck Moshi,
Mhandisi Issa Batenga na Hamis Semka.
Kamati ya Fedha na Mipango:
Mwenyekiti
ni Michael Wambura; Makamu Mwenyekiti ni Francis Ndulane na Wajumbe ni
Almas Kasongo, Pascal Kihanga, Maximillian Tabonwa, Paul Bilabaye na
Farid Abeid.
Kamati ya Mashindano:
Mwenyekiti
ni Ahmed Mgoyi; Makamu Mwenyekiti ni James Mhagama wakati Wajumbe ni
Kenneth Pesambili, Shafii Dauda, Fortunatus Kalewa na Mhandisi Andrew
Makota.
Kamati ya Ufundi:
Mwenyekiti
ni Vedastus Lufano; Makamu Mwenyekiti ni Issa Bukuku na wajumbe ni
Sarah Chao, Ally Mayay, Michael Bundala, Omar Abdulkadir na Israel
Mujuni.
Kamati ya Soka la Vijana:
Mwenyekiti ni Khalid Abdallah; Makamu Mwenyekiti ni Lameck Nyambaya na Wajumbe ni Mohammed Aden, Ramadhani Nassib, Salim Kibwana na Vicent Majili.
Mwenyekiti ni Khalid Abdallah; Makamu Mwenyekiti ni Lameck Nyambaya na Wajumbe ni Mohammed Aden, Ramadhani Nassib, Salim Kibwana na Vicent Majili.
Kamati ya Mpira wa Wanawake:
Mwenyekiti
ni Amina Karuma; Makamu Mwenyekiti ni Rose Kissiwa na Katibu wa Kamati
hiyo ni Somoe Ng’itu wakati Wajumbe ni Zena Chande, Beatrice Mgaya,
Sofia Tigalyoma, Zuhura Kapama na Nia Mjengwa.
Kamati ya Waamuzi:
Mwenyekiti ni Saloum Chama; Makamu Mwenyekiti Joseph Mapunda wakati Wajumbe ni Nassib Mabrouk, Leslie Liunda na Soud Abdi.
Kamati ya Habari na Masoko:
Mwenyekiti
ni Dunstan Mkundi; Makamu Mwenyekiti ni Mbasha Matutu wakati Wajumbe ni
Imani Kajura, Mgaya Kingoba, Godfrey Dilunga na Samson Mbamba.
Kamati ya Ukaguzi wa Fedha:
Mwenyekiti
ni Yahya Hamad; Makamu Mwenyekiti ni Athuman Nyamlani na Wajumbe ni
Khalifa Mgonja, Japhary Kachenje, Jackson Songoro na Benesta Rugora.
Kamati ya Tiba:
Mwenyekiti
ni Dkt. Paulo Marealle; Makamu Mwenyekiti ni Dkt. Fred Limbanga Wakati
wajumbe ni Dkt. Norman Sabun, Dkt. Lisobina Kisongo, Dkt. Eliezer
Ndalama, Dkt. Elson Maeja na Violet Lupondo.
Kamati ya Futsal na Beach Soccer:
Mwenyekiti
ni Ahmed Mgoyi; Makamu Mwenyekiti ni Hussein Mwamba na Wajumbe ni
Blassy Kiondo, Isaac Munisi, Didas Zimbihile na Aaron Nyanda.
Kamati ya Ajira:
Mwenyekiti
ni Issa Bukuku; Makamu Mwenyekiti ni Saloum Chama wakati Wajumbe ni
Athuman Kihamia, Mtemi Ramadhani, Noel Kazimoto na Hawa Mniga.
Kamati ya Leseni za Klabu:
Mwenyekiti
ni Wakili Lloyd Nchunga; Makamu Mwenyekiti Wakili Emmanuel Matondo
wakati Wajumbe ni Profesa Mshindo Msolla, Hamisi Kissiwa na David
Kivembele.
Kamati ya Rufaa za Leseni:
Mwenyekiti Wakili Dk. Damas Ndumbaro; Makamu Mwenyekiti ni Wakili Alex Mngongolwa Wajumbe ni Meneja wa zamani wa Uwanja wa Taifa, Charles Matoke, Tumainiel Mlango
Mwenyekiti Wakili Dk. Damas Ndumbaro; Makamu Mwenyekiti ni Wakili Alex Mngongolwa Wajumbe ni Meneja wa zamani wa Uwanja wa Taifa, Charles Matoke, Tumainiel Mlango