Na steve sameo.
Mchezaji wa kimataifa wa Spain Diego Coster mambo yameenda sivyo baada ya kuachwa kwenye kikosi cha spain kinachokwenda euro 2016 sababu kubwa ya kocha Vicente Del Bosque ni mchezaji huyo kuwa majeruhi kwa vipindi tofauti.
Huku wadadisi wa maswala ya kimichezo wakidai ni kwa sababu ya utovu wa nidhamu ya mchezaji huyo katika ligi kuu epl huku yote hayo yakija akiwa amefunga goli moja kati ya mechi 10 aliyovaa jezi ya spain huku goli hilo akifunga dhidi ya Luxembourg.
Wednesday, 18 May 2016
About Unknown
Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.