Fashion

Wednesday, 18 May 2016

HAPA JURGEN KLOOP PALE UNAI EMERY KAZI NGUMU EUROPA LIGUE

Na steve sameo
Usiku wa leo ni usiku mwingine wa vijana wa Jurgen Klopp kuonesha ubora wao katika mashindano ya Uefa europa ligue dhidi ya klabu ya Sevilla ambayo ambayo inaitaji kuchukua kikombe hicho mara ya tatu.


Ubora wa ligi kuu ya Spain maarufu  La liga ndio nchi inayoongoza kwa kutoa vilabu vitatu katika mashindano yote ya UEFA huku katika  UEFA champion ligue fainali itavikutanisha vilabu vya Real Madrid na Atletico De Madrid vyote kutoka jiji moja la Madrid .

Europa ligue ikiwakutanisha Liverpool kutoka England na Sevilla kutoka Spain kwa viwango tofauti vya vilabu vya Spain na vile vya Epl mchezo  huo utavuta hisia za macho ya wapenda soka duniani huku kila mtu akitazama uwezo wa timu moja moja kutoka pande mbili tofauti.

Uwepo wa makocha wawili wenye mbinu tofauti ndio unaosubiliwa kutazamwa na mashabiki wengi wa soka hapa Jurgen Klopp pale Unai Emery ndio shughuli inayosubiliwa.

Unknown

About Unknown

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :