PAYET SHUJAA UFARANSA MECHI YA UFUNGUZI FRANCE 2- 1 ROMANIA
.
Pazia la michuano ya Euro 2016 imefunguliwa nchini France huku mechi ya ufunguzi ikiwakutanisha wenyeji France na Romani, mchezo huo uliokuwa wa vuta ni kuvute kwa pande zote mbili na kufanya mchezo uwe mgumu.
Goli la Olivier Giroud liliwahamsha mashabiki wa France kabla ya penati ya Stancu kuwaamusha mashabiki wa Romania goli la kishujaa L mfaransa Dimitri Payet ndio lilowanya ufanya kushinda kwa goli Mbili kwa kwa moja dhidi ya Romania.
France 2-1 Romania.
Kikosi cha France:Lloris,Sagna,Koscienly,Rami,Evra,Kante,Matuidi,Pogba,Griezman,Payet,Girooud;
sub:Martial,Coman,sissoko sub zilizotumika.
Romania :Tatarusanu,Sapunuru,Grigore,Chiriches,Rat,Hoban,Pintilii,Popa,StancuAndone.
About Unknown
Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.