Nyota wa real madrid Cristiano Ronaldo hatashiriki pambano la UEFA SUPER CUP dhidi ya Sevilla huko Trondheim, Norway hapo Agosti 9
Ronaldo, mwenye Miaka 31, aliumia Goti Julai 10 kwenye Fainali ya EURO 2016 alipoiongoza Nchi yake Portugal kuifunga France na kutwaa Kombe na kuwa Mabingwa wapya wa Ulaya.
Hii Leo Ronaldo ameeleza: “Nipo nje ya UEFA SUPER CUP hapo Agosti 9 kwa sababu narudi kazini Agosti 10”
UEFA SUPER CUP ni Kombe maalum la kuanua rasmi Msimu mpya wa Mashindano ya Klabu Barani Ulaya na hushindanisha Bingwa wa UEFA CHAMPIONZ LIGI kwa Msimu uliopita na yule wa UEFA EUROPA LIGI.
Msimu uliopita Real Madrid ndio waliotwaa UEFA CHAMPIONZ LIGI na Sevilla ndio walikuwa Mabingwa wa UEFA EUROPA LIGI.
LA LIGA
Mechi za Ufunguzi Msimu Mpya wa 2016/17
21 Agosti (Wiki ya 1)
Real Sociedad v Real Madrid
Málaga v Osasuna
Sevilla v Espanyol
Granada v Villarreal
Valencia v Las Palmas
Deportivo v Eibar
FC Barcelona v Real Betis
Sporting v Athletic
Atlético v Alavés
Celta v Leganés
Málaga v Osasuna
Sevilla v Espanyol
Granada v Villarreal
Valencia v Las Palmas
Deportivo v Eibar
FC Barcelona v Real Betis
Sporting v Athletic
Atlético v Alavés
Celta v Leganés