Fashion

Sunday, 9 October 2016

AZAM FC KUWASHA MOTO GAME ZIJAZO

 Azam FC imekuwa na mwendo wa kusuasua kiasi fulani ingawa bado wamekuwa .
wakionyesha soka safi. Mechi yao ya mwisho, wameambulia sare ya bao 2-2 dhidi ya JKT Ruvu.

Sasa mechi zao tano ni hizo, ambazo ni lazima wasimame ili kuonyesha kweli wanawania ubingwa. Je, wataweza kusimama kwa kuwa wana makocha wachapakazi kutoka Hispania? Ni suala la kusubiri.

Unknown

About Unknown

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :