Hadi sasa Liverpool chini ya Kocha Jurgen Klopp ndiyo timu iliyokimbia kilomita nyingi zaidi kwenye Ligi Kuu England.
Baada ya Liverpool yenye kilomita 814.8, Man City chini ya Kocha Pep Guardiola inashika nafasi ya pili na Tottenham ni katika nafasi ya tatu.
LISTI:
Liverpool – 814.8km
Man City – 803.9km
Tottenham – 803.4km
Burnley – 793.9km
Middlesbrough – 789.3km
West Brom – 784.2km
Arsenal – 780.9km
Swansea – 772.6km
Bournemouth – 769.4km
Chelsea – 765.9km
Southampton – 759.8km
Leicester – 758.8km
West Ham – 756.0km
Watford – 751.2km
Hull – 750.5km
Stoke – 746.1km
Sunderland – 744.6km
Everton – 743.1km
Crystal Palace – 741.9km
Man Utd – 735.6km