Rigobert
Song anaendelea vizuri baada ya kuwa katika chumba cha wagonjwa
mahututi (ICU) baada ya kuanguka akiwa nyumbani kwake Younde nchini
Cameroon.
Song ambaye ni beki wa zamani wa Liverpool na Cameroon alisafirishwa Ufaransa kwa ajili ya matibabu.
Beki huyo ameelezwa kwamba sasa angalau ameweza kupumua na hali ambayo inaonyesha nafuu kubwa