Fashion

Thursday, 22 December 2016

WAKIMATAIFA WARUDI MAZOEZINI WAACHANA NA MGOMO

Yanga leo wataendelea na mazoezi kwa mara ya pili ikiwa ni baada ya kugoma siku mbili.

Wachezaji wa Yanga waligoma kufanya mazoezi kwa madai kuwa hawajalipwa mshahara wao wa mwezi uliopita.

Lakini, jana jioni walirejea mazoezini baada ya kuwa wamezungumza na uongozi na kukubaliana kuwa watamalizana.


Leo wanaendelea na mazoezi kwa mara ya pili ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mechi yao dhidi African Lyon ambayo itapigwa kesho Ijumaa.

Unknown

About Unknown

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :