.
.
Fundi wa mpira Dimitri Payet amesema anataka kuondoka West Ham United hapo na kuweka msisitizo katika hilo, amegoma kufanya mazoezini.
Kocha Mkuu wa West Ham United, Slaven Bilic
amesema Payet raia wa Ufaransa aliwaambia kwamba anataka auzwe.
Payet anayepokea mshahara wa pauni 125, 000 kwa wiki ameonyesha nia ya kutaka kuachana na West Ham United ambayo msimu huu imeshindwa kuonyesha cheche.