Fashion

Monday 13 February 2017

WANGER HANA NDOTO YA KUONDOKA KWENYE SOKA LA USHINDANI


Mkufunzi wa Arsenal, Arsene Wenger amewashukuru waandishi wa habari kwa kumtaka apumzike lakini amewaambia wazi, “wasahau”.

Wenger amesema hana mpango wa kuachia ngazi licha ya kuwepo kwa taarifa Arsenal ingependa kumchukua Diego Simeone kutoka Atletico Madrid ya Hispania kuchukua nafasi yake.

Mara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Hull City yeye akiwa jukwaani, Wenger amesema, hana mpango wa kupumzika.

“Nashukuru sana kwa nia yenu njema ya kunitaka kupumzika. Lakini sihitaji kufanya hivyo kwa sasa,” alisema Wenger.

Unknown

About Unknown

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :