Watu 90,000 wataujaza
uwanja wa Wembley siku ya Jumamosi kuona pigano la uzani mzito duniani
kati ya bingwa wa ukanda wa IBF Anthony Joshua wa Uingereza anayejaribu
kutaka kuongeza ukanda mwengine wa WBA wakati atakapokabiliana na
aliyekuwa bingwa duniani Wladmir Klitschko.
lakini ni Joshua ambaye anaonekana kuwa bondia mwenye uwezo mkubwa.
tofauti,akiwemo bingwa wa zamani wa uzani huo kutoka Uingereza aliyefanikiwa kumshinda Klitscko Lenox Lewis .
''Nadhani ni wakati muhimu kwa Joshua kuuonyesha ulimwengu kwamba sasa amekomaa na hususan kwa sababu Klitschko anataka kulipiza baada ya kushindwa na Tyson Fury.
"kutokana na umri wa Klitscko hana nguvu tena za miguu, nguvu alizokuwa nazo zimepungua kuna maswala mengi tofauti ambayo yanamuathiri kimaisha.