Joto la mji huo limepanda hadi kufikia nyuzi joto 30, hali iliyosababisha kocha Arsene Wenger kuwapoza wachezaji wake kwa kuwaingiza katika maui ya barafu.
Baadhi ya wachezaji walionekana kulalamika kutokana na joto hilo kali.
Wengine walikubaliana na hali hiyo na
Mohamed Elneny, Aaron Ramsey, Olivier Giroud, Theo Walcott na Danny Welbeck walionekana kushindwa.