Klabu ya Mbeya City imefikia makubaliano na Kocha Nsanzurwimo Ramadhani kuwa Kocha Mkuu kwa mkataba wa awali wa Msimu mmoja wa ligi kuu ya Vodacom inayoendelea
.
Kocha Ramadhan ni raia wa Burundi na anatarajia kujiunga na timu huko kanda ya ziwa inakoendelea na michezo ya ligi kuu.
“Ramadhan ni coach mzuri. Anapenda sana tiki taka. Aliwahi kuwa
coach wa Kiyovu Sport team ya hapa Rwanda. He likes entertaining
football. All the best to Rama.
” Maneno ya mchezaji mahiri wa zamani na Mwandishi wa habari Mwandamizi nchini Rwanda, Gakuba Abdul Djabar ‘Romaria’.
Kocha Ramadhani amewahi kuwa kocha kwa nyakati tofauti katika vilabu
mbalimbali nchini Burundi, Rwanda, Botswana, Malawi, Uganda, na Afrika
ya Kusini, pia amewahi kuwa mshauri wa ufundi katika timu ya taifa ya
Burundi na kocha msaidizi/kocha mkuu wa Muda (care-taker) kwa timu ya
taifa ya Malawi.
Tuesday, 26 September 2017
MBEYA CITY YAPATA MRITHI WA KINA PHIRI
About Unknown
Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.