Fashion

Friday 3 November 2017

MADRID WAENDELEA KUTESEKA NA KIPIGI CHA WATOTO WA POCHETINO

.
 
 
Magoli mawili kutoka kwa Dele Alli na la tatu kutoka kwa Christian Eriksen yalionyesha tofauti kwa Spurs huku Real wakiendelea na kiwango dhaifu 
 
Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ameikingia kifua timu yake baada ya kufungwa 3-1 na Tottenham katika uwanja wa Wembley.

Magoli mawili kutoka kwa Dele Alli na la tatu kutoka kwa Christian Eriksen yalionyesha tofauti kwa Spurs huku Real wakiendelea na kiwango dhaifu katka kampeni hizi.

Hata hivyo, Ronaldo amesisitiza kuwa Spurs hawakustahili kushinda, kwani goli la kwanza la Alli lilipatikana baada ya Kieran Tripper kupiga krosi akiwa ameshazidi.

Ronaldo, 32, alikiambia Football Espana: "Makosa? Unapokosa ushindi, watu huanza kuangalia mapungufu, lakini nipo hapa naongea, nikionyesha sura yangu kwa niaba ya wachezaji wenzangu, na ninaamini kwamba mambo yatabadilika.

Unknown

About Unknown

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :