Wakati Manchester United imepata ushindi
mnono wa maabo 4-1 dhidi ya Newcastle, mshambuliaji wake, Zlatan
Ibrahimovic aliyekuwa majeruhi amerejea.
Zlatan amerejea na kuichezea Man United kwa mara nyingine na kuamsha matumaini kwa mashabiki wengi wa Man United.Katika mechi hiyo, Zlatan hakufunga lakini alionyesha uhai na matumaini ya juu kwa mashabiki wa Man United.