Kipigo hicho dhidi ya City kimeifanya klabu ya United kuwa nyuma ya alama 11 katika mechi 16 dhidi ya vijana wa Guardiola.
"Hakuna mtu anapenda kupoteza, hakuna mtu anataka kupoteza mara mbili.Nadhani hiyo ni kitu ambacho ni cha kila timu ulimwenguni.
Mourinho alisema hivyo kuelekea mechi ya Bournemouth Bournemouth wamepoteza mechi moja kati ya 4 walizocheza hivi karibuni huku mechi tatu kati ya hizo 4 wametoka sare
"Katika misimu miwili iliyopita tulipata matokeo mazuri katika michezo ya namna vile na walinisaidia kufafanua msimu wetu, kwa hiyo tunaangalia ile kitu kiendelee kujitokeza tena" alisema meneja Eddie Ho