Fashion

Saturday 9 April 2016

BAADA YA HAZARD NANI KUWA MCHAZAJI BORA WA EPL WA MSIMU HUU?

UPIGWAJI KURA wa kumchagua Mchezaji Bora wa Mwaka wa England ambae atazoa Tuzo ya PFA, Professional Footballers' Association, Chama cha Wachezaji Soka wa Kulipwa, umefungwa Jana.
Hapo Alhamisi Aprili 14 Listi ya Wachezaji 6 itawekwa hadharani ili hatimae apatikane Mshindi wa kumrithi Eden Hazard wa Chelsea alietwaa Tuzo hii Mwaka Jana.


FAHAMU:
-Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa England wa PFA, yaani The Professional Footballers' Association Players' Player of the Year, hutolewa kila Mwaka kwa Mchezaji ambae ndie alikuwa Bora kwa Mwaka mzima huko England.
-Tuzo hii ilianzishwa Msimu wa 1973/74 na Mshindi kwa Kura za Wanachama wa PFA.

Katika kuelekea kupatikana kwa Listi ya 6 Bora, Wachambuzi wa Soka wa BBC, Shirika la Utangazi la Uingereza, ambao ni Magwiji wa Soka wa zamani wa huko Uingereza, kina Alan Shearer, Chris Waddle, Chris Sutton, Jermaine Jenas, Danny Murphy, Danny Mills, Kevin Kilbane, Pat Nevin, Mark Lawrenson na John Hartson, kila mmoja ametoa maoni nani anastahili kuwemo kwenye hiyo ya 6 Bora ambayo itatoa Mshindi.

TAKWIMU:
Na
Mchezaji
Magoli
Msaada
Jumla
1
Riyad Mahrez [Leicester]
16
11
27
2
Jamie Vardy [Leicester]
19
6
25
3
Romelu Lukaku [Everton]
18
6
24
4
Mesut Ozil [Arsenal]
5
18        
23
4
Harry Kane [Tottenham]
22
1
23
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
PATA LISTI ZAO KWA MAONI YAO:
-Kwenye Listi za Wachambuzi hao 10, ni Riyad Mahrez na Harry Kane pekee ndio wako kwenye Listi ya kila mmoja wao.
-Dimitri Payet na Jamie Vardy wapo kwenye Listi za Watu 9 kati ya 10.
Alan Shearer: Mshindi-Riyad Mahrez
Listi yake:
Riyad Mahrez (Leicester)   
Jamie Vardy (Leicester)
N'Golo Kante (Leicester)   
Dimitri Payet (West Ham)
Harry Kane (Tottenham)   
Dele Alli (Tottenham)
Chris Waddle: Mshindi-Riyad Mahrez
Listi yake:
Riyad Mahrez (Leicester)   
Jamie Vardy (Leicester)
Willian (Chelsea)    
Dimitri Payet (West Ham)
Harry Kane (Tottenham)   
Dele Alli (Tottenham)
Chris Sutton: Mshindi-Dimitri Payet
Listi yake:
Riyad Mahrez (Leicester)   
Jamie Vardy (Leicester)
Robert Huth (Leicester)    
Dimitri Payet (West Ham)
Harry Kane (Tottenham)   
Dele Alli (Tottenham)
Jermaine Jenas: Mshindi-Riyad Mahrez
Listi yake:
Riyad Mahrez (Leicester)   
Jamie Vardy (Leicester)
Toby Alderweireld (Tottenham)    
Dimitri Payet (West Ham)
Harry Kane (Tottenham)   
Mesut Ozil (Arsenal)
Danny Murphy: Mshindi-Riyad Mahrez
Listi yake:
Riyad Mahrez (Leicester)   
Jamie Vardy (Leicester)
Toby Alderweireld (Tottenham)    
Dimitri Payet (West Ham)
Harry Kane (Tottenham)   
N'Golo Kante (Leicester)
Danny Mills: Mshindi-Harry Kane
Listi yake:
Riyad Mahrez (Leicester)   
Toby Alderweireld (Tottenham)
N'Golo Kante (Leicester)   
Dimitri Payet (West Ham)
Harry Kane (Tottenham)   
Dele Alli (Tottenham)
Kevin Kilbane: Mshindi-Riyad Mahrez
Listi yake:
Riyad Mahrez (Leicester)   
Jamie Vardy (Leicester)
Mesut Ozil (Arsenal)
Dimitri Payet (West Ham)
Harry Kane (Tottenham)   
Romelu Lukaku (Everton)
Pat Nevin: Mshindi-Riyad Mahrez
Listi yake:
Riyad Mahrez (Leicester)   
Jamie Vardy (Leicester)
N'Golo Kante (Leicester)   
Dele Alli (Tottenham)
Harry Kane (Tottenham)   
David de Gea (Man Utd)
Mark Lawrenson: Mshindi-Harry Kane
Listi yake:
Riyad Mahrez (Leicester)   
Jamie Vardy (Leicester)
Harry Kane (Tottenham)   
Dimitri Payet (West Ham)
Dele Alli (Tottenham)        
N'Golo Kante (Leicester)
John Hartson: Mshindi-Riyad Mahrez
Listi yake:
Riyad Mahrez (Leicester)   
Jamie Vardy (Leicester)
Danny Drinkwater (Leicester)      
Dimitri Payet (West Ham)
Harry Kane (Tottenham)   
Dele Alli (Tottenham)
PFA – TUZO: WASHINDI WALIOPITA:
1973–74
Norman Hunter
Leeds United
1974–75
Colin Todd
Derby County
1975–76
Pat Jennings
Tottenham Hotspur
1976–77
Andy Gray
Aston Villa
1977–78
Peter Shilton
Nottingham Forest
1978–79
Liam Brady
Arsenal
1979–80
Terry McDermott
Liverpool
1980–81
John Wark
Ipswich Town
1981–82
Kevin Keegan
Southampton
1982–83
Kenny Dalglish
Liverpool
1983–84
Ian Rush
Liverpool
1984–85
Peter Reid
Everton
1985–86
Gary Lineker
Everton
1986–87
Clive Allen
Tottenham Hotspur
1987–88
John Barnes
Liverpool
1988–89
Mark Hughes
Manchester United
1989–90
David Platt
Aston Villa
1990–91
Mark Hughes
Manchester United
1991–92
Gary Pallister
Manchester United
1992–93
Paul McGrath
Aston Villa
1993–94
Eric Cantona
Manchester United
1994–95
Alan Shearer
Blackburn Rovers
1995–96
Les Ferdinand
Newcastle United
1996–97
Alan Shearer
Newcastle United
1997–98
Dennis Bergkamp
Arsenal
1998–99
David Ginola
Tottenham Hotspur
1999–2000
Roy Keane
Manchester United
2000–01
Teddy Sheringham
Manchester United
2001–02
Ruud van Nistelrooy
Manchester United
2002–03
Thierry Henry
Arsenal
2003–04
Thierry Henry
Arsenal
2004–05
John Terry
Chelsea
2005–06
Steven Gerrard
Liverpool
2006–07
Cristiano Ronaldo
Manchester United
2007–08
Cristiano Ronaldo
Manchester United
2008–09
Ryan Giggs
Manchester United
2009–10
Wayne Rooney
Manchester United
2010–11
Gareth Bale
Tottenham Hotspur
2011–12
Robin van Persie
Arsenal
2012–13
Gareth Bale
Tottenham Hotspur
2013–14
Luis Suárez
Liverpool
2014–15
Eden Hazard
Chelsea

Unknown

About Unknown

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :