Fashion

Friday, 13 January 2017

TFF WAJIULIZE MAPEMA TUNAENDA AFCON 2019 AU LAAA!!!!KUNDI HILO

.




Katika Droo iliyofanyika usiku wa Alhamis ya hatua za awali za makundi za kufuzu AFCON 2019 Tanzania imepangwa katika kundi L na nchi nyingine za Uganda, Lesotho pamoja na Cape Verde.

Ni moja ya makundi ambayo pamoja na kuonekana kuwa rahisi lakini kitendo cha nchi hizi kuwa na viwango vinavyokaribiana kinaweza kufanya iwe ngumu zaidi kwa maana ya kukamiana.
Hata hivyo jukumu linabaki kwa TFF na wachezaji pamoja na jopo la kiufundi kuamua kusuka ama kunyoa na pengine muda wa lawama unaweza kuwekwa kando kiasi, ingawa ukweli unabaki palepale kuwa laiti tungejiandaa miaka yote iliyopigiwa kelele, hizi ni aina ya droo ambazo unaweza kuamini moja kwa moja na pengine kuishukuru CAF kwa wakati huu. Itawezekana iwapo tutaamua kipindi hiki.

OFFICIAL DRAW AFCON 2019- CAMEROON
KUNDI A
1. Senegal
2. Guinea Equator
3. Sudani
4. Sao Tome & Principe
KUNDI B
1. Cameroon
2. Morroco
3. Malawi
4. Mauritius
KUNDI C
1. Mali
2. Gabon
3. Burundi
4. South Sudan
KUNDI D
1. Algeria
2. Togo
3. Benin
4. Gambia
KUNDI E
1. Nigeria
2. South Africa
3. Libya
4. Seychelles
KUNDI F
1. Ghana
2. Ethiopia
3. Sierra Leon
4. Kenya
KUNDI G
1. Congo DRC
2. Congo
3. Zimbabwe
4. Liberia
KUNDI H
1. Cōte d’Ivoire
2. Guinea
3. Central Africa
4. Rwanda
KUNDI I
1. Burkinafaso
2. Angola
3. Botswana
4. Maurtania
KUNDI J
1. Tunisia
2. Egypt
3. Niger
4. Swaziland
KUNDI K
1. Zambia
2. Mozambique
3. Guinea Bisau
4. Namibia
KUNDI L
1. Cape Verde
2. Uganda
3. Tanzania
4. Lesotho

Unknown

About Unknown

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :