Duka hilo lile katika mji aliozaliwa wa Cologne na zaidi ya mashabiki 1,000 walijitokeza wakati wa uzinduzi huo.
duke hilo litajulikana kwa jina la
Mangal Doener, ambalo pia ndiyo jina la aina mbalimbali za kababu
zitakazokuwa zikitengenezwa.
Podolski pia ana duka jingine la kuuza
ice cream pia lile la kuuza vifaa vya michezo katika mji huo wa Cologne nchini Ujerumani.