Timu Liverpool chini ya Kocha Jurgen Klopp kimeendelea kujifua kwa ajili ya mechi yao Jumapili dhidi ya Tottenham.
Mechi hizo inasubiriwa kwa hamu kutokana na namna kasi kubwa ya Tottenham na kama kweli Liverpool watawasimamisha.
Homa hiyo ya mchezo inachagizwa na ushindi wa goli mbili kwa bila wa Totenham waliopata mbele ya watoto wa Jose Mourinho hili haionyeshi kuwa Totenham itapata ushindi kwa wepesi maana liverpool ni timu inayoweza zaidi kucheza mechi kubwa na kutoa ushindani.