Monday, 26 February 2018
KESI YA MBUNGE WA JIMBO LA MBEYA SUGU YAENDELEA LEO
Kesi ya mbunge wa jimbo la Mbeya mjini inaendelea leo katika viunga vya mahakama kuu mkoani Mbeya wafuasi wa chama cha Maendeleo na Demokrasia wamekuwa wakifuatilia hukumu hiyo nje ya viunga vya mahakama kuu .
Baadhi ya wabunge kama Mnyika,David Silinde na Mwakanjoka wameonekana katika viunga vya mahakama kuu mjini mbeya
About Unknown
Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.