Winga wa kimataifa kutoka Tanzania anayekipiga DifaĆ¢
Hassani El Jadida ya Morocco, jana ameendelea kuwa tegemeo kwa timu
yake baada ya kufunga bao pekee dhidi ya AS Vita ya Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Congo.
Kocha
wa Taifa Stars, Salum Mayanga, ametaja majina 23 ya wachezaji walioitwa
kujiunga na kikosi hicho kwa ajili ya kujiwinda na michezo ya kirafiki
dhidi ya Algeria na Jamhuru ya Kidemokrasia ya Congo.
Mchezaji wa klabu ya FC. Barcelona, Ousmane Dembele, amesema hana furaha na
taarifa zinazoeleza kuwa Kocha wake, Ernasto Valverde, ana mipango ya
kumsajili mchezaji Antoine Griezmann kutoka Atlerico de Madrid.
Mwenyekiti wa chama cha upinzani
nchini Tanzania Chadema amesema kama chama hawana imani na watendaji wa
mahakama licha ya kwamba wanaiheshimu kama "muhimili muhimu wa taifa ."